{"id":120,"date":"2022-11-13T11:51:19","date_gmt":"2022-11-13T11:51:19","guid":{"rendered":"https:\/\/sb.samcockrill.co.uk\/?page_id=120"},"modified":"2025-06-25T08:35:25","modified_gmt":"2025-06-25T08:35:25","slug":"about","status":"publish","type":"page","link":"https:\/\/shulebora.co.tz\/sw-tz\/about\/","title":{"rendered":"About"},"content":{"rendered":"<div id=\"cs-content\" class=\"cs-content\"><div class=\"x-section e120-e1 m3c-0 m3c-1\"><div class=\"x-row x-container max width e120-e2 m3c-2 m3c-3 m3c-4\"><div class=\"x-row-inner\"><div class=\"x-col e120-e3 m3c-7\"><div class=\"x-text x-text-headline e120-e4 m3c-8 m3c-9\"><div class=\"x-text-content\"><div class=\"x-text-content-text\"><h2 class=\"x-text-content-text-primary\">KUHUSU SHULE BORA<\/h2>\n<span class=\"x-text-content-text-subheadline\"><p>Kwa ufadhiri kutoka Serikali ya watu wa Uingereza(UK) kutoka 2021 hadi 2027, Programu ya Shule Bora kitaifa itafanya kazi kusaidia serikali katika programu ya mageuzi ya elimu, na kwa kuboresha elimu katika Serikali za Mitaa na shule za mikoa tisa ya Tanzania yenye changamoto nyingi. Takribani watoto milioni 4, watanufaika na hii programu, nusu yao wakiwa wasichana. Mageuzi na na uvumbuzi vitajaribiwa na kutathminiwa katika ngazi ya mtaa ili mbinu bora zilizothibitishwa ziweze kutumika katika shule zote za msingi nchini.<\/p>\n<p>Kitaifa, Shule Bora hutoa msaada wa kitaalamu kwa serikali kuhusu na kwa programu ya pili ya elimu ya Lipwa Kwa Matokeo yani EpforR II inayofadhiriwa na na wadau mbalimbali. Katika EPforR II, malengo ya utendaji wa kitaifa yanafanyika kwa makubaliano ya pande zote mbiliserikali na wafadhili kuhusu malipo yanayotokana na na mafanikio lengwa. Hii huchochea mabadiliko ya kudumu ya kimfumo kama vile usawa wa usambazaji wa walimu na utoaji wa vitabu vya kiada.<\/p>\n<\/span><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div><div class=\"x-section e120-e5 m3c-0\"><div class=\"x-row x-container max width e120-e6 m3c-2 m3c-3 m3c-5\"><div class=\"x-row-inner\"><div class=\"x-col e120-e7 m3c-7\"><div class=\"x-text x-text-headline e120-e8 m3c-8 m3c-9\"><div class=\"x-text-content\"><div class=\"x-text-content-text\"><h2 class=\"x-text-content-text-primary\">Washirika wetu wakuu<\/h2>\n<span class=\"x-text-content-text-subheadline\"><p>Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MOEST) \u2013 Inatoa mwongozo wa kisera na uangalizi matokeo muhimu ya programu.<\/p>\n<p>Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) &#8211; kusimamia utekelezaji katika Mikoa na Halmashauri.<\/p>\n<p>Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) &#8211; kutoa mafunzo endelevu ya kitaalamu yenye ubora juu kwa walimu.<\/p>\n<p>Wakala wa Maendeleo ya Usimamizi wa Elimu (ADEM) \u2013 Kuboresha usimamizi wa elimu nchini Tanzania<\/p>\n<p>Cambridge Education (CE) ni mshirika wa utoaji wa usaidizi wa kitaalamu kwa Shule Bora. Programu inatekelezwa na washirika wakuu wa Action on Disability and Development (ADD), Plan International, na International Rescue Committee (IRC), na washirika wengine.<\/p>\n<p>Shule Bora imejikita katika matokeo manne;<\/p>\n<ol>\n<li><strong>Kujifunza:<\/strong> Watoto wote wapo shuleni wanajifunza<\/li>\n<li><strong>Kufundisha:<\/strong> UK aid inasaidia uimarishaji wa kufundisha kwa walimu wa<br \/>\nTanzania<\/li>\n<li><strong>Jumuishi:<\/strong> Watoto wote wapo shuleni zenye mazingira salama, yanayovutia<br \/>\nkujisomea na kuwawezesha kumaliza elimu msingi na kwendelea hadi sekondari<\/li>\n<li><strong>Kujenga Mifumo:<\/strong> UK aid inasaidia Serikali kuimarisha thamani ya fedha<br \/>\nzitolewazo kwa elimu shuleni katika ngazi za serikali za mitaa na kitaifa<\/li>\n<\/ol>\n<p>Ili kufikia matokeo haya. Shule Bora inafanya kazi kutoa<\/p>\n<p>Shule Bora imejikita katika matokeo makuu matano, kila moja ikilenga wadau muhimu tofauti katika kufanikisha matokeo ya programu<\/p>\n<\/span><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div><div class=\"x-section e120-e9 m3c-0\"><div class=\"x-row x-container max width e120-e10 m3c-2 m3c-3 m3c-6\"><div class=\"x-row-inner\"><div class=\"x-col e120-e11 m3c-7\"><div style=\"--tco-dc3c-0:#0db14b;\" class=\"x-text x-text-headline e120-e12 m3c-8 m3c-a\"><div class=\"x-text-content\"><div class=\"x-text-content-text\"><h1 class=\"x-text-content-text-primary\">Ufundishaji na Ujifunzaji<\/h1>\n<span class=\"x-text-content-text-subheadline\"><span style=\"font-weight: 400\">Kuanzia mafunzo ya walimu hadi uongozi na usimamizi wa shule na ufundishaji  darasani \u2014 hizi ni rasilimali zilizoandaliwa  kusaidia utoaji wa elimu bora na jumuishi kwa tija na kwa mawanda mapama. <\/span><\/span><\/div><\/div><\/div><div style=\"--tco-dc3c-0:#ffcf01;\" class=\"x-text x-text-headline e120-e12 m3c-8 m3c-a\"><div class=\"x-text-content\"><div class=\"x-text-content-text\"><h1 class=\"x-text-content-text-primary\">Usalama na Ujumuishi<\/h1>\n<span class=\"x-text-content-text-subheadline\"><span style=\"font-weight: 400\">Kila mtoto ana haki ya kupata elimu \u2014 lakini wengi bado wanakumbana na vikwazo vikubwa. Pata rasilimali kuhusu ujumuishaji wa wanafunzi wenye ulemavu, usawa wa kijinsia na mengineyo, hapa.<\/span><\/span><\/div><\/div><\/div><div style=\"--tco-dc3c-0:#f26a21;\" class=\"x-text x-text-headline e120-e12 m3c-8 m3c-a\"><div class=\"x-text-content\"><div class=\"x-text-content-text\"><h1 class=\"x-text-content-text-primary\">Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi<\/h1>\n<span class=\"x-text-content-text-subheadline\"><span style=\"font-weight: 400\">Mabadiliko ya tabianchi yanaathiri kila mtu, na mara nyingi huathiri zaidi watoto walioko kwenye  mazingira magumu. Pata rasilimali kuhusu juhudi za Shule Bora zinazochangia kuzifanya shule nchini Tanzania kuwa , salama na zenye uwezo wa kukabiliana na Athari za  mabadiliko ya tabianchi.<\/span><\/span><\/div><\/div><\/div><div style=\"--tco-dc3c-0:#ffffff;\" class=\"x-text x-text-headline e120-e12 m3c-8 m3c-a\"><div class=\"x-text-content\"><div class=\"x-text-content-text\"><h1 class=\"x-text-content-text-primary\">Programu ya Lipa Kulingana na Matokeo (EPforR)<\/h1>\n<span class=\"x-text-content-text-subheadline\"><span style=\"font-weight: 400\">Pata Nyaraka  hapa kuhusu Programu ya Lipa Kulingana na  Matokeo (EPforR)\nProgramu ya Lipa Kulingana na  Matokeo (EPforR)\n \u2014 mfumo unaounganisha uwekezaji katika elimu na maboresho yanayopimika kwenye  shule zote nchini  Tanzania.<\/span><\/span><\/div><\/div><\/div><div style=\"--tco-dc3c-0:#2899d5;\" class=\"x-text x-text-headline e120-e12 m3c-8 m3c-a\"><div class=\"x-text-content\"><div class=\"x-text-content-text\"><h1 class=\"x-text-content-text-primary\">Uratibu wa Sekta ya Elimu<\/h1>\n<span class=\"x-text-content-text-subheadline\"><span style=\"font-weight: 400\">\u00a0Pata nyaraka za vikundi kazi vya sekta ya elimu, sera mbalimbali, rasilimali za uratibu wa wafadhili, pamoja na machapisho ya programu hapa.<\/span><\/span><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div><\/div>","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KUHUSU SHULE BORA Kwa ufadhiri kutoka Serikali ya watu wa Uingereza(UK) kutoka 2021 hadi 2027, Programu ya Shule Bora kitaifa itafanya kazi kusaidia serikali katika programu ya mageuzi ya elimu, na kwa kuboresha elimu katika Serikali za Mitaa na shule za mikoa tisa ya Tanzania yenye changamoto nyingi. Takribani watoto milioni 4, watanufaika na hii programu, nusu yao wakiwa wasichana. &#8230; <\/p>\n<div><a href=\"https:\/\/shulebora.co.tz\/sw-tz\/about\/\" class=\"more-link\">Read More<\/a><\/div>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":20,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","template":"","meta":{"_acf_changed":false,"footnotes":""},"class_list":["post-120","page","type-page","status-publish","hentry","no-post-thumbnail"],"acf":[],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/shulebora.co.tz\/sw-tz\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/120","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/shulebora.co.tz\/sw-tz\/wp-json\/wp\/v2\/pages"}],"about":[{"href":"https:\/\/shulebora.co.tz\/sw-tz\/wp-json\/wp\/v2\/types\/page"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/shulebora.co.tz\/sw-tz\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/shulebora.co.tz\/sw-tz\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=120"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/shulebora.co.tz\/sw-tz\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/120\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/shulebora.co.tz\/sw-tz\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=120"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}