Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
Mabadiliko ya tabianchi yanaathiri kila mtu, na mara nyingi huathiri zaidi watoto walioko kwenye mazingira magumu. Pata rasilimali kuhusu juhudi za Shule Bora zinazochangia kuzifanya shule nchini Tanzania kuwa , salama na zenye uwezo wa kukabiliana na Athari za mabadiliko ya tabianchi.
